Jumamosi, 14 Juni 2014

Mapigano katika mpaka wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Maafisa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo juzi Alkhamisi walitangaza habari ya kutokea mapigano kati ya askari jeshi wa nchi hiyo na Rwanda katika mpaka wa pamoja wa nchi hizo...

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni